Tarehe 04.05.2013 JUMUIYA YA WANAFUNZI VYUO VIKUU TOKA KYELA wakiongozwa na m/kiti Thobias Mwamkonda pamoja na katibu wake Maisha Ambangile waliendesha workshop (semina) kwa vijana form six na form four leavers
jinsi ya udahili wwa vyuo vikuu na jinsi ya kuomba mkopo kufuatana na vigezo mbalimbali na kuwaeleza fursa mbalimbali zilizopo kwenye vyuo vya kati. vijana mia moja na ishirini (120) na wazazi watano(5) walihudhuria semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa KBC.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ni kazi nzuri sana wadau wenzangu..!!tuendelee kwa kuwa na mshikamano na umoja zaidi ili kuinua kiwango cha elimu kyela..!!
ReplyDelete