Tarehe 03.05.2013 JUMUIYA YA WANAFUNZI VYUO VIKUU TOKA KYELA NA WADAU WENGINE tunahitaji Nguvu kubwa zaid tupeleke shule zilizo baki, Kazi kubwa imefanyika KYELA ni yetu tunahitaji nguvu ya pamoja. na kurushwa kwenye media ITV na KYELA FM.
pichani 1. vitabu vilivyopelekwa katumba songwe sec. school. 2. viongozi wa jumuiya wakimsikiliza mkuu wa shule akitoa shukrani 3.wanafunzi wakifurahia msaada wa vitabu 4. Diwani( Mh. Msusi) akitoa shukrani 5. m/kiti (Thobias Mwamkonda) wa jumuiya akitoa historia fupi na malengo ya jumuiya 6. Katibu wa jumuiya(Maisha Ambangile) akitoa nasaha kwa wanafunzi na salamu za jumuiya.
No comments:
Post a Comment