Social Icons

Friday, 31 May 2013

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA HEWANI

Baada ya matokeo mapya ya kidato cha nne 2012 kutolewa hatimaye matokeo ya kidato cha sita 2013 yatangazwa na yanapatikana .http//www.necta.go.tz

Thursday, 30 May 2013

MATOKEO MAPYA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA NA BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA (NECTA)

Hatimaye Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo mapya ya kidato cha nne mwaka 2012.
Katika matokeo hayo yameonekana kuna ongezeko la ufaulu kwa madaraja kama vile daraja la I.Pata matokeo hayo hapa www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/CSEE_2012

Monday, 27 May 2013

JUMUIYA YA WANAFUNZI VYUO VIKUU KUTOKA KYELA WATOA SEMINA KWA WALIOHITIMU KIDATO CHA IV NA VI

Tarehe 04.05.2013 JUMUIYA YA WANAFUNZI VYUO VIKUU TOKA KYELA wakiongozwa na m/kiti Thobias Mwamkonda pamoja na katibu wake Maisha Ambangile waliendesha workshop (semina) kwa vijana form six na form four leavers
jinsi ya udahili wwa vyuo vikuu na jinsi ya kuomba mkopo kufuatana na vigezo mbalimbali na kuwaeleza fursa mbalimbali zilizopo kwenye vyuo vya kati. vijana mia moja na ishirini (120) na wazazi watano(5) walihudhuria semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa KBC.

JUMUIYA YA WANAFUNZI VYUO VIKUU KUTOKA KYELA WAGAWA VITABU

Tarehe 03.05.2013 JUMUIYA YA WANAFUNZI VYUO VIKUU TOKA KYELA NA WADAU WENGINE tunahitaji Nguvu kubwa zaid tupeleke shule zilizo baki, Kazi kubwa imefanyika KYELA ni yetu tunahitaji nguvu ya pamoja. na kurushwa kwenye media ITV na KYELA FM.

pichani 1. vitabu vilivyopelekwa katumba songwe sec. school. 2. viongozi wa jumuiya wakimsikiliza mkuu wa shule akitoa shukrani 3.wanafunzi wakifurahia msaada wa vitabu 4. Diwani( Mh. Msusi) akitoa shukrani 5. m/kiti (Thobias Mwamkonda) wa jumuiya akitoa historia fupi na malengo ya jumuiya 6. Katibu wa jumuiya(Maisha Ambangile) akitoa nasaha kwa wanafunzi na salamu za jumuiya.

 

News

JUMUIYA YA WANAFUNZI VYUO VIKUU KUTOKA KYELA(DSM)

News

Jumuiya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu KYELA

News

News